Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza
wakati wa ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo
Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasha
mshumaa kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India
liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba
14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi akiwasha mshumaa
kuashiria ufunguzi rasmi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo
Namastee Tanzania (Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika
ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
vikundi vya Utaamduni wa kihindi vikitumbuiza katika uzinduzi wa
Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari
Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee
Jijini Dar es Salaam.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ally Hassan Mwinyi (kulia)akimsikiliza
Balozi wa India nchini Mhe. Sandeep Arya (katikati) wakati wa onesho la
uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania
(Habari Tanzania) lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond
Jubilee Jijini Dar es Salaam kulia ni Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye.
Wageni
waalikwa wakifatila burudani mbalimbali wakati wa onesho la Tamasha la
Utamaduni la India liitwalo Namastee Tanzania (Habari Tanzania)
lililofanyika Oktoba 14,2016 katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar
es Salaam.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WHUSM
No comments:
Post a Comment