Salaaaam...!
Hakika nimekuwa na wasaa mzuri sana kujumuika katika majukumu kwa uchache katika shule ya Sekondari Umoja hapa Wilayani Igunga.
Lakini mimi nataka tujadili kuhusu Pure&Natural Jambo Drinking
Water chupa ya maji yenye ujazo wa 1500 ml na Slogan yao nu Life in
every drop, Maji haya yanazalishwa ama kutengenezwa Mkoani Shinyanga
lakini pia kuna maji mengine nimenunua yenyewe yanatengenezwa
Rukwa nimekuwa na maswali kadhaa hivi wafanyabiashara wa Mkoa wa Tabora
wanashindwa nini kuchangamkia fursa ya kuwa na kiwanda cha maji ambayo
yakutikane nchi nzima....?
Leo mjadala maji tu mambo ya Video za watsup tuyaache kidogo.
Wakati Mwema
Mathias Canal
0756413465
No comments:
Post a Comment