RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHAMED SHEIN AONGOZA SHUGHULI ZA UZIMAJI MWENGE MKOANI SIMIYU
Rais wa
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar SMZ na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mh. Dk. Ali Mohamed Shein akipokea mwenge kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za
Mwenge Kitaifa Ndugu George Mbijima wakati wa sherehe za uzimaji wa
Mwenge wa Uhuru Bariadi mkoani Simiyu leo baada ya kukimbizwa nchi nzima
huku kiongozi huo akikagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo
na kuhimiza wananchi katika uwajibikaji kwa taifa ambapo sherehe hizo
zimefanyika kitaifa mkoani humo.
No comments:
Post a Comment