Nyumba zimeharibiwa vibaya
Maelfu ya
watu katikati mwa Italia wamelala katika magari na mahema ikiwa ni kama
makazi ya muda mfupi baada ya kimbunga kikali kupiga katika eneo hilo
tokea kile cha mwezi Agosti.
Wakaazi katika eneo lililoathirika zaidi la Norcia wamesema walikuwa na hofu sana kuendelea kukaa ndani mwa nyumba zao.
Takriban watu 20 wamejeruhiwa na kimbunga hicho kilichotokea siku ya Jumapili, lakini inasemekana mtu mmoja amepoteza maisha.
Baadhi ya wakaazi wakiwa kwenye makazi ya muda
Mkuu wa eneo hilo Luca Ceriscioli amesema zaidi ya watu laki moja watahitaji msaada.BBC
No comments:
Post a Comment