Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsalimia Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali
David Msuguri wakati alipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo
jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El
Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba
12, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakimjulia hali Mkuu wa
Majeshi Mstaafu, Jenerali David Msuguri wakati walipokwenda kwenye
hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada
ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke
jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kulia) wakiwajulia hali wagonjwa wakati walipokwenda kwenye hospitali ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam kuona wagonjwa baada ya kushiriki sala ya Iddi El Haji kwenye uwanja wa Mwembe Yanga, Temeke jijini Dar es salaam Septemba 12, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment