Msafara
wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,ukiongozwa na Mapikipiki ukiingia katika viwanja vya Skuli
mpya ya Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika jana, [Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Maalim Haroun Ali
Suleiman jana mara alipowasili katika viwanja vya Skuli mpya ya
Mkanyageni akihudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj,[Picha na
Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akisimama katika jukwaa maalum kupokea salamu ya heshma ya kikosi
cha Gwaride la FFU Pemba mara alipohudhuria katika sherehe za Baraza la
Eid El Hajj,lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya
Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na
Ikulu.]12/09/2016.
Kikosi
cha jeshi la Polisi FFU Pemba wakitoa salamu ya heshma kwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein, wakati alipohudhuria katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya
Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Mke wa
Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Mke wa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume wakati wa sherehe za Baraza la Eid
El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni
Mkoa wa kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Viongozi
wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na wananchi wa Wilaya ya Mkoani
Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika jana katika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa
kusini Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati wa
sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa
Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha
na Ikulu.]12/09/2016.
Baadhi ya
Akina Mama wa Vijiji mbali mbali vya Wilaya ya mkoani Mkoa wa Kusini
Pemba wakiwa katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana
katika ukumbi wa Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa
Kusini Pemba,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein, [Picha na
Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,akitoa hutuba yake kwa Wananchi na Viongozi mbali mbali wakati
wa sherehe za Baraza la Eid El Hajj lililofanyika jana katika ukumbi wa
Skuli Mpya ya Mkanyageni Wilaya ya Mkoani Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha
na Ikulu.]12/09/2016.
Mke wa
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume na Mke wa Rais wa
Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe,Balozi Seif Ali Iddi wakisikiliza hotuba iliyotolewa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein aliyoitoa jana katika sherehe za Baraza la Eid El Hajj
lililofanyika ukumbi wa Skuli mpya ya Mkanyageni Mkoa wa kusini
Pemba,[Picha na Ikulu.]12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen
(katikati) jana alijumuika na maelfu ya Waislamu mbali mbali na Viongozi
katika swala ya Eid el Hajj iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame
kutoka shehia ya Ueleni katika Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini
Pemba,{Picha na Ikulu} 12/09/2016.
Baadhi ya
waislamu kutoka shehia za Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kusini
Pemba wakiwa katika swala ya jamaa ya Eid el Hajj iliyoswaliwa jana
katika uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu}
12/09/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen
(kulia) akisalimiana na Watoto baada ya swala ya Eid el Hajj
iliyoswalishwa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika
Uwanja wa Mkoani BandariniMkoa wa Kusini Pemba,{Picha na Ikulu}
12/09/2016.
Wananchi
na Waislamu wakisikiliza Hutuba Baada ya Swala ya Eid el Hajj
iliyotolewa na Sheikh Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni katika
Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini Pemba jana,{Picha na Ikulu}
12/09/2016.
Sheikh
Ali Adam Makame kutoka shehia ya Ueleni alipokuwa akitoa Hutuba baada ya
Swala ya Eid el Hajj jana mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shen,Viongozi pamoja na
Waislamu mbali mbali katika Uwanja wa Mkoani Bandarini Mkoa wa Kusini,
Pemba {Picha na Ikulu} 12/09/2016.
No comments:
Post a Comment