Wednesday, August 3, 2016

ILALA YASHIRIKI MAONYESHO YA NANENANE YANAYOFANYIKA MKOANI MOROGORO

mj1
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema (kulia) akiwa na Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo Mhe. Charles Kuyeko (kushoto) wakihojiwa na mwandishi wa habari katika ufunguzi wa Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) iliyofanyika jana tarehe 01.08.2016 mkoani Morogoro.Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
mj3
Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Sophia Mjema (kulia) akiongea na baadhi ya Madiwani wa Manispaa hiyo katika ufunguzi wa Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) iliyofanyika jana tarehe 01.08.2016 mkoani Morogoro.
mj4
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Msongela Palela (wa pili kushoto) akipata maelezo ya namna ya upandikizaji wa mbegu za samaki kwa njia za kisasa  toka kwa Mkuu wa Idara ya Mifugo na Uvuvi Msongo Songoro (kulia)  katika ufunguzi wa Sikukuu ya Wakulima (Nanenane) iliyofanyika jana tarehe 01.08.2016 mkoani Morogoro.
mje5
Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Theresia Mmbando (kulia) wakijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Msongela Palela (kushoto) alipotembelea banda la maonyesho la Manispaa hiyo katika ufunguzi wa Sikukuu ya Wakulima (Nanenane)  iliyofanyika jana tarehe 01.08.2016 mkoani Morogoro.

No comments:

Post a Comment