Saturday, July 2, 2016

Hongera Dc Nachingwea Rukia Muwango


Turufu nyingine hii

Rais amefanya kazi kubwa katika uteuzi wake wa wakuu wa mikoa na Wilaya
Hongera sana dada yangu Rukia Muwango kwa kazi ya kuaminika uliyopewa na Rais JPM kumsaidia katika majukumu ya Wilaya ya Nachingwea. 

Nataraji utendaji wako uliotukuka nakumbuka wakati ukiwa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo umepiga kazi kwa kiasi kikubwaHongera kwa hatua mahiri uliyopewa na Rais.

Historia yako si haba Novemba 2013, ulitekeleza wajibu wako ukiwa wizara ya Elimu Idara na Sera na Mipango, kama mchambuzi wa sera.

Rukia kitaaluma ni Mwalimu akiwa amebobea zaidi katika masomo ya hesabu na Geography amefundisha shule kadhaa ikiwemo Kilakala Sekondari, pia amefanya kazi kama Mkaguzi wa shule kwa miaka tisa.

Safi sana katimize majukumu yako Nachingwea na kila la kheri

No comments:

Post a Comment