RAIS Dr John Magufuli jana aliungana na
Rais Mstaafu wa wamu ya pili,Mhe Ali Hassan Mwinyi katika ibada ya
mazishi ya Dada wa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dr Jakaya Kikwete
Nyumbani kwake Msoga mkoani Pwani.
Akiwa katika ibada hiyi,Rais Magufuli
alijumuika na wenyeji wake katika msiba huo kwa kushirikiana nao katika
shughuli mbalimbali hadi hatau ya mazishi
No comments:
Post a Comment