![]() |
abian clasee |
![]() |
cover la burudan band la wimbo wa mke gani |

sherehe za mbunge jimbo la ismani zilianza tangu tarehe 27 mwezi huu zimeongezeka hii leo mara baada ya magufuri kutawazwa kuwa rais wa Tanzania na hizi ni baadhi tuu ya picha za furaha hiyo huku akifanya sherehe hizo kwa kupiga picha za cover ya nyimbo ya band yao ya burudani kwa kugharamikia gharama zote hadi kukamilika kwa cover hilo ikiwa ni sehemu tuu ya furaha yake juu ya ushindi wa lukuvi na magufuri
No comments:
Post a Comment