Neymar ambae hivi karibuni amepigwa panga la kukosa mechi nne kwenye
Copa America baada ya kitendo cha utovu wa nidhamu alichofanya kwenye
mechi.Licha ya kuwa nje ya uwanja lakini bado anaendelea kuwa supporter
mkubwa wa timu yake kwa kukaa jukwaani akishangilia timu yake.
Sasa baada ya kuzungumza na waandishi wa habari kuhusu kujutia kitendo alichokifanya lakini bado ametumia muda mrefu kuandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kwa lugh ya kireno jinsi gani anazidi kujutia nafasi aliyoichezea ya kulitumikia taifa lake kwenye soccer.Haya ndio maneno yenyewe yaliyotafsiriwa kutoka lugha ya kireno,
“I waited with great
faith and hope in the hope of still being able to serve the Brazilian
national team in this Copa America.Unfortunately it will not be
possible.I know that my presence in the group is important, as well as
of each of the other players, more than ever, they must completely turn
their thoughts to the upcoming matches ahead.I was given the duty of
being one of the group leaders and as captain take responsibility for
bringing glory and making decisions, whether wrong or right. And this
was a moment of decision.Regardless of where I’ll be from now on, I’ll
always follow Brazil, rooting for the success of my teammates, but
staying here training is killing me inside… With no joy. It’s awful to
train without preparing for something and this could lead to an
accidental injury which would make it even more difficult.I needed to
express this feeling to the group and the coaching staff who have always
supported me. Staying here could bring a bad environment of
“Concentration” issues that would take the focus away from the main
purpose of Brazil.I apologise to my colleagues, for putting myself in
this situation but I’m sure this was an important learning curve in my
career.
No comments:
Post a Comment