Watafiti wa magonjwa wanasema kwamba
janga kubwa la ugonjwa wa ebola nchini Guinea linazidi kuongeza idadi
ya vifo vya watu wanaofariki dunia kwa maradhi ya malaria .
Watafiti hao wanasema magonjwa yote mawili,malaria na ebola husababisha homa na hofu pia inaweza kuchangia mgonjwa kutomwona daktari.
Watafiti hao wameendelea kueleza kwamba,idadi ya wagonjwa wa malaria nchini Guinea imeshuka katika baadhi ya maeneo kwa asilia sabini .
No comments:
Post a Comment