Tuesday, July 27, 2021

MHE. RAIS SAMIA AKUTANA NA MKURUGENZI WA KITUO CHA KUDHIBITI NA KUZUWIA MAGONJWA BARANI AFRIKA (CDC)

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kudhibiti na kuzuia Magonjwa Barani Afrika (CDC) Dkt. John Nkengasong, Wakati Dkt. John alipofika  Ikulu Jijini Dar es salaam leo Julai 27,2021. (Picha na Ikulu) .

No comments:

Post a Comment