Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba kibao chake kipya cha “Lazima Wakae” khuku akicheza na Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu huku likihudhuriwa na mashabiki lukuki wa mji huo.
Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiendelea kuwateka mashabiki wake katika tamasha hilo lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri mjini Bariadi mkoani Simiyu.
Baadhi ya mashabiki wa muziki wa injili wakiburudika wakati waimbaji wakifanya vitu vyao katika tamasha hilo.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akicheza na Mc wa tamasha hilo MC Mwakipesile na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Simiyu pamoja na wasanii wa Rose Muhando katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na wananchi katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akisalimia mashabiki akiwa na waimbaji pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bariadi na mkoa wa Simiyu katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akiwa na viongozi wenzake pamoja na waimbaji pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya Bariadi na mkoa wa Simiyu katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiy.
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
Mkuu wa mkoa wa Simiyu Mh. Anthony Mtaka na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion wakimisikiliza MC Mwakipesile alipokuwa akimkaribisha mkuu wa mkoa huyo katika tamasha la Pasaka lililofanyika leo kwenye uwanja wa Halmashauri Mjini Bariadi mkoani Simiyu
Mwimbaji Dan M kutoka nchini Kenya akiimba na mashabiki wake katika tamasha hilo.
Mwimbaji Jesca Honore naye akafanya jambo katika tamasha hilo.
Picha zikionyesha baadhi ya mashabiki wakifuatilia tamasha hilo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion akizungumza na watoto na vijana mbalimbali ambao walikuwa nje ya uwanja wakiwa hawana kiingilio katika tamasha hilo nambapo baadaye aliwakati tiketi na kuwagawia wakaingia kwenye tamasha.
Suifaeli Mwabuka akiimba na mashabiki wake.
Joshua Mlelwa hapo hampigi mtu teke bali anacheza na mashabiki wake kama unavyowaona.
Moja ya Kwaya kitumbuiza katika tamasha hilo.
0 comments:
Post a Comment