Thursday, October 26, 2017

WATAALAMU WA MASUALA YA TEKNOLOJIA,HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA ) WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM

1
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akizungumza wakati akifungua  Mkutano Mkuu wa wataalam wa TEHAMA (Annual ICT Professionals Conference 2017, AIPC-17) unaofanyika kwa siku mbili kwenye  ukumbi wa JNCC jijini Dar es salaam Mkutano huo umeandaliwa na Tume ya Mawasiliano, Mkutano huo umeandaliwa na Taasisi ya Tume ya  Habari  na Mawasiliano (TEHAMA) Tanzania na kushirikisha wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania na Nje ya Tanzania.
3
Mkurugenzi waMkuu wa Kampuni ya Multchoice Tanzania na Mwenyekiti wa Bodi ya TEHAMA Bw. Maharage Chande akizungumza katika mkutano huo.
4
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho kushoto  Injinia  Clarence Ichwekeleza  Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Wizara ya Uchukuzi na mawasiliano katikati  na Bw. Samson Mwela Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya  Habari  na Mawasiliano (TEHAMA) wakiwa katika mkutano huo.
6
Baadhi ya wataalamu wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo.
7 8
Injinia  Clarence Ichwekeleza  Mkurugenzi wa Huduma za Mawasiliano Wizara ya Uchukuzi akizungumza katika mkutano huo.
9 10 11 12
Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akipiga picha ya pamoja na wataalamu wa TEHAMA mara baada ya kufungua mkutano huo.
13 14 15
Katibu Mkuu wa Uchukuzi Dkt Leonard Chamriho akizungmza na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari mara baada ya kufungua mkutano huo kulia ni Maharage Chande Mkurugenzi wa Multchoice Tanzania na na Mwenyekiti wa Bodi ya TEHAMA na  Kushoto ni Bw. Samson Mwela Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya  Habari  na Mawasiliano (TEHAMA).
16
Maharage Chande Mkurugenzi wa Multchoice Tanzania na na Mwenyekiti wa Bodi ya TEHAMA akizungumza na wanahabari.
17
Bw. Samson Mwela Kaimu Mkurugenzi wa Tume ya  Habari  na Mawasiliano (TEHAMA) akihojiwa na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo.

No comments:

Post a Comment