Tigo Kukabidhi Nyenzo za Kidigitali shule ya sekondari wasichana Machame
Mkuu
wa Wilaya ya Hai, Gelacius Byakanwa akikata utepe kuzindua rasmi
maabara yenye nyenzo za elimu ya kidigitali ya Tigo eSchools kwa shule
ya sekondari wasichana Machame jana. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo.
Mkuu wa wilaya ya Hai, Gelacius Byakanwa (aliyekaa kulia)akipata
maelezo ya matumizi ya kujisomea vitabu kwa njia ya mtandao kupitia
Tigo eSchools toka kwa mwanafunzi wa shule ya sekondari wasichana
Machame, Delynes Laurian mara baada ya kampuni ya Tigo kukabidhi huduma
hiyo shuleni hapo jana.
Mtaalam
wa tovuti toka Shule Direct, Emmanuel George akielezea jambo kwa mkuu
wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Gelacius Byakanwa wakati wa
uzinduzi wa Tigo eSchools shule ya wasichana Machame leo. Wengine nyuma
kushoto Kaimu Mkurugenzi wa Tigo kanda kaskazini, Henry Kinabo, mwalimu
mkuu wa shule ya Machame, Asteria Massawe
Umati wa wanafunzi wa shule ya wasichana Machame Machame wakiwa wanashuhudia uzinduzi wa Tigo eSchoolsl mapema jana.
No comments:
Post a Comment