METDO Tanzania

METDO Tanzania

Thursday, October 26, 2017

RATIBA YA ROBO FAINALI YA CARABAO CUP YATOKA

The Carabao Cup quarter-final draw took place at Twitter's HQ in London on Thrusday
Droo ya kupanga mecho za robo fainali, katika upangaji huo wa robo fainali inaonekana bado hatutashuhudia mechi baina ya vigogo wa ligi katika robo fainali kwani hakuna mchezo wanaokutana katika hatua hiyo.
Chelsea watakutana na Bournamouth katika robo fainali huku  Arsenal watakabiliana na West Ham katika robo fainali.
Leicester City watakutana na vinara wa ligi kuu  Manchester City huku  Manchester United watakuwa wageni wa Bristol City.
Robo fainali ya Efl Cup/Carbao Cup inatarajiwa kupigwa kati ya tarehe 19 na 20 ya mwezi wa 12, na hiyo itatoa timu zitakazokwenda kucheza nusu fainali ya michezo hiyo
Share:

0 comments:

Post a Comment

Copyright © WAZO HURU | Powered by Blogger Design by ronangelo | Blogger Theme by NewBloggerThemes.com